• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua-pepe za Watumishi |
MAKAMBAKO URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY (MAKUWASA)
MAKAMBAKO URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY (MAKUWASA)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MAKAMBAKO (MAKUWASA)

  • Mwanzo
    • Dira na Dhima
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Wasiliana nasi
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Organisation Structure
    • Idara
      • Technical
      • Commercial
      • Financial and Administration
    • Vitengo
      • Production and Distribution
      • Repair and Maintanance
      • Billing Section
      • Procurement and Supply
      • Planning and Construction
      • Credit Control
      • Customer Services
      • Internal Audit
  • Huduma Zetu
    • Production and Supply
    • Consultation and Advisor
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Budgets
    • Regulations
    • Newsletter
    • Fomu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video Gallary

Wasifu

Inj Hussein Salum Nyemba
Mkurugenzi Mtendaji

Inj.Hussen Nyemba ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Makambako (MAKUWASA) aliyeteuliwa na ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mnamo Septemba 1, 2016

Kabla ya uteuzi Inj.Hussen Nyemba alikuwa akifanyakazi Halmashauri ya Mji Makambako kama Muhandisi wa Maji katika Idara ya Maji mnamo Novemba 17,2014 hadi Agosti 30,2016.

Pia amefanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya na Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Ludewa kama fundi sanifu na badae kama Mhandisi wa Maji baada ya kupata shahada ya kwanza ya uhandisi wa ujenzi na rasilimali maji katika chuo kikuu cha Ardhi kilichopo jijini Dar es salaam.

Inj.Hussen Nyemba amezaliwa tarehe 15.03.1988 katika wilaya ya Ilala mkoa wa  Dar es salaam , Nakusoma diploma ya Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira katika chuo cha Maji kilichopo Ubungo jijijni Dar es  salaam mnamo mwaka 2006 na kuhitimu mwaka 2009 na kuajiriwa kama fundi sanifu upandewa maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa. Mwaka 2010 Inj.Hussen Nyemba alijiunga na chuo cha Ardhi Dar es salaam kusomea shahada ya ujenzi na Rasilimali Maji na kuhitimu mwaka 2014.

Inj. Hussein Nyemba tangu ateuliwe kuwa mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Makambako kwa kushirikiana na Bodi ya Maji, watumishi wa MAKUWASA pamoja na wadau mbalimbali amefanikiwa mambo katika kuhakikisha Mamlaka ya Maji Makambako inasonga mbele katika kutoa huduma bora ya maji kwa wananchi wa Makambako.

.

Matangazo

  • Kukatika kwa Maji November 14, 2018
  • Tangazo la Ajira November 16, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Ufungaji wa Pamp chanzo cha Bwawani

    November 14, 2018
  • Shilingi Bil. 2.4 Kuboresha Mradi wa Maji Makambako

    November 13, 2018
  • Angalia zote

Video

Majimakambako
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Sanaa la Taifa
  • Wizara ya Maji
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Dirisha la Watumishi

Viunganishi Linganifu

  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Makambako

    Anuani ya posta: P.O.Box 940 Makambako

    Simu: +255 262730407

    Simu ya kiganjani: 08000750041

    Baruapepe za Watumishi: md@makuwa.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Sera ya faragha

Copyright ©2018 Makuwasa . All rights reserved.