• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua-pepe za Watumishi |
MAKAMBAKO URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY (MAKUWASA)
MAKAMBAKO URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY (MAKUWASA)

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MAKAMBAKO (MAKUWASA)

  • Mwanzo
    • Dira na Dhima
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Wasiliana nasi
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Organisation Structure
    • Idara
      • Technical
      • Commercial
      • Financial and Administration
    • Vitengo
      • Production and Distribution
      • Repair and Maintanance
      • Billing Section
      • Procurement and Supply
      • Planning and Construction
      • Credit Control
      • Customer Services
      • Internal Audit
  • Huduma Zetu
    • Production and Supply
    • Consultation and Advisor
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taarifa
    • Budgets
    • Regulations
    • Newsletter
    • Fomu
  • Kituo cha habari
    • Maktaba ya Picha
    • Video Gallary

Tangazo la Ajira

16 November 2018


TANGAZO  LA  NAFASI  ZA  KAZI

Mamlaka ya Maji Mjini Makambako inatangaza nafasi za kazi  kwa watanzania wenye sifa. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 29/11/2018 saa 09 :30 Alasiri.

  • MHASIBU   (ACCOUNTANT)- NAFASI MOJA(1).
  •  

1.1      KAZI  ZA  KUFANYA.

  • Kuandaa Bajeti ya Mamlaka kwa kushirikiana na Menejimenti ya Mamlaka.
  • Kuandaa taarifa zote za Fedha.
  • Kufunga vitabu vya mahesabu vya Mamlaka kila mwaka.
  • Kuandaa malipo,Cheque,Payment Voucher nk.
  • Kufanya usuluhisho wa kibenki (Bank Reconciliation).
  • Kufanya kazi zingine atakazo pangiwa na Mkuu wake kazi.

 1.2      SIFA  ZA MWOMBAJI.

  • Awe na Shahada ya kwanza katika fani ya uhasibu na fedha (Bachelor’s degree in Accounting and Finance).
  • Awe na uzoefu angalau miaka mitatu(3)

1.3  MSHAHARA

  • Kwa kuzingatia mishahara ya serikali TGS D yani Tsh.710,000 kwa mwezi

1.4  MASHARITI YA AJIRA 

  • Mtahiniwa atasaini mkataba wa miaka mitatu(3). Mara baada ya kuisha mkataba wa awali, anaweza akasaini mkataba wa mwingine kama mwajiri ataona inafaa kufanya hivyo.

2.0   AFISA BIASHARA (COMMERCIAL MANAGER)- NAFASI 1.


2.1   KAZI  ZA  KUFANYA

  • Kuandaa mipango ya biashara ya masuala ya Maji (Business plan)
  • Kubuni vyanzo vya mapato ya Mamlaka.
  • Kusimamia makusanyo ya maduhuli ya Maji.
  • Kutoa elimu kwa wateja wa Maji.
  • Kuandaa taarifa ya inayohusu idara ya Biashara.
  • Kuimarisha mahusiano na wateja kwa Mamlaka.

2.2    SIFA ZA MWOMBAJI.

  • Awe na shahada ya kwanza ya usimamizi wa Biashara/ubunifu na yenye Mwelekeo wa Uhasibu (Bachelor’s degree in Business Administration).
  • Awe na uzoefu angalau miaka mitatu(3).

2.3   MSHAHARA

  • Kwa kuzingatia mishahara ya serikali TGS D yani Tsh.710,000 kwa mwezi

2.4  MASHARITI YA AJIRA

  • Mtahiniwa atasaini mkataba wa miaka mitatu(3). Mara baada ya kuisha mkataba wa awali, anaweza akasaini mkataba  mwingine  kama mwajiri ataona inafaa kufanya hivyo.

 

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI WOTE.

  • Waombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
  • Waombaji wote wawe na umri kati ya miaka 18 hadi 45
  • Waombaji wotewaambatanishe cheti cha kuzaliwa
  • Waombaji ambao tayari ni watumishi wa umma na wamejipatia sifa za kuingilia katika kada tofauti na walizonazo, wapitishe barua zao za maombi ya nafasi za kazi kwa waajiri wao na waajiri wajiridhishe ipasavyo
  • Historia fupi ya mwombaji (Curriculum vitae) ikiwa na majina matatu ya wadhamini.
  • Maombi yote yaambatane na vyeti vya taaluma, maelezo, nakala za vyeti vya kidato cha nne na sita kwa wale waliofikia kiwango hicho na vyeti vyakuhitimu mafunzo mbalimbali kwakuzingatiasifa za kazi husika
  • Vivuli  vya  vyeti  vya kuhitimu shule na taaluma na cheti cha kuzaliwa.
  • Picha  moja (passport size) iliyopigwa karibuni.
  • Anuani  ya mwombaji na simu namba yake ili kuharakisha  mawasiliano.
  • Mwombaji  aandike  barua ya maombi kwa hati yake mwenyewe.
  • Gharama za kujikimu na nauli kuja na kurudi kwenye  usahili ni juu ya mwombaji mwenyewe.
  • Siku  ya usahili waombaji wafike na vyeti halisi vya shule na taaluma.
  • Hati  ya matokeo  (Result slip, Transcript na Statement of Result) hazitakubaliwa.

NB: Waombaji wote watakaotimiza masharti na vigezo wataitwa kwenye usaili.

NAMNA YA KUWASILISHA  MAOMBI YA KAZI ZILIZOTANGAZWA.

MAOMBI YA TUMWE KWA:

MKURUGENZI,

MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MAKAMBAKO,

S.L.P 940,

MAKAMBAKO.

AU

MANAGING DIRECTOR,

MAKAMBAKO URBAN WATER SUPPLY AND SANITATION AUTHORITY,

P.O.BOX 940,

MAKAMBAKO.

AU KWA BARUA PEPE: md@makuwasa.go.tz

 

TANGAZO LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MAKAMBAKO.


Matangazo

  • Kukatika kwa Maji November 14, 2018
  • Tangazo la Ajira November 16, 2018
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • Ufungaji wa Pamp chanzo cha Bwawani

    November 14, 2018
  • Shilingi Bil. 2.4 Kuboresha Mradi wa Maji Makambako

    November 13, 2018
  • Angalia zote

Video

Majimakambako
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Baraza la Sanaa la Taifa
  • Wizara ya Maji
  • Dirisha la Hati ya Mshahara
  • Dirisha la Watumishi

Viunganishi Linganifu

  • Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Makambako

    Anuani ya posta: P.O.Box 940 Makambako

    Simu: +255 262730407

    Simu ya kiganjani: 08000750041

    Baruapepe za Watumishi: md@makuwa.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

Counter Widgets

    • Kanusho
    • Sera ya faragha

Copyright ©2018 Makuwasa . All rights reserved.